Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Jengo
linaloonekana katika Picha ni sehemu ya kupokelea maji yanayotoka chini
ya mchanga na kupanda bila pump katika mabomba ndani ya jengo hilo na
kuja kusambazwa kwa wakazi kwa vijiji jirani kwa matumizi ya nyumbani
Chanzo
cha maji cha ajabu kikiwa chini ya Mchanga, ambapo juu hakuna maji
yoyote yanayoonekana badala yake ni mchanga unaonekana kama mto
uliyokauka maji, chanzo hiki kipokatika kijiji cha Igombe wilayani
Meatu.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mhe.Luhaga Mpina
ambaye pia ni Mbunge wa Kisesa akiongea na wadau hawapo katika picha
kuhusu utekelezaji wa mradi wa chanzo cha maji cha Igombe, Mwandoya
Mkoani Simiyu.
Jengo ya la wodi ya wazazi linaloendela kujengwa katika zahanati ya Mwandoya iliyopojimboni Kisesa katika Wilaya ya Meatu.
0 comments:
Post a Comment